TITO HAULE

REGISTRAR OF COOPERATIVE SOCIETIES

Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. William Tate Ole Nasha, ameagiza Shirikisho la vyama vya Ushirika nchini (Tanzania Federation of Cooperatives – TFC) kusimamia mipango ya maendeleo ya vyama vya ushirika na kuona kuwa viwanda vinajengwa katika Vyama vyote vinavyojihusisha na mazao kama kahawa, korosho, uvuvi na ufugaji na tathmini yake ifanyike.

Waziri Ole Nasha alikuwa akifunngua Kongamano la Kitaifa la Wanaushirika katika Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani (SUD) – 2017 yaliyoanza leo tarehe 30 Juni, 2017 mjini Dodoma na yatafikia kilele chake kesho Julai 01, 2017 ambapo Mgeni Rasmi atakuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa.

 Aidha, Waziri Ole Nasha alipongeza juhudi za Vyama vya Ushirika vya TANECU, MAMCU, TDCU na Chama cha msingi cha wanawake cha wasindikaji wa maziwa; (Nronga Women Dairy Cooperative Society) na vingine ambavyo vinawekeza katika viwanda na kuongeza thamani.

 Serikali inatambua kuwa ushirika ni nyenzo muhimu ya kuwasaidia wananchi kupata chanzo cha mitaji na kuunganisha nguvu zao za kiuchumi katika kujiendeleza kiuchumi. Ushirika unatoa fursa kwa wananchi hasa wenye uwezo mdogo kuunganisha nguvu zao pamoja ili kuwa na nguvu kubwa kiuchumi ambazo ni muhimu katika kukabiliana na ushindani wa soko huru hasa katika kipindi hiki cha utandawazi. Njia hii itawezekana endapo kila mkoa utajiwekea mkakati wake katika majukwaa ya wanaushirika.

 Nguvu ya wakulima wadogo, wafugaji, wavuvi, wafanyabiashara ipo kwenye umoja na mshikamano ambao huzaa Ushirika. Sera ya Maendeleo ya Ushirika inataka kuwa na  vyama imara vyenye kujitegemea kiuchumi na vyenye kukidhi mahitaji ya wanachama wake, Vyama vinavyoendeshwa kwa kufuata misingi ya ushirika.

 Waziri Ole Nasha ameagiza kuwa vyama vyote vihakikisha vinafuata misingi ya ushirika na kuepuka utegemezi zaidi. Hii ni kutokana na kuwa  vyama vingi ambavyo havifuati Misingi ya Ushirika vimekumbwa na matatizo ya ukosefu wa mitaji, wizi na ubadhilifu, elimu duni kuhusu ushirika, ushiriki mdogo wa wanawake na vijana na watendaji wa vyama wasio na sifa na kushindwa kutumia fursa mbalimbali zinazojitokeza nchini. 

Latest News

Makamu Mwenyekiti wa Tume achaguliwaMakamu Mwenyekiti wa Tume achaguliwa
14 Sep 2017 16:39

  Kikao cha kwanza cha Makamishna wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika kimemchagua Bibi. Elizabeth C. Makwabe kuwa Makamu mwenyekiti wa Tume ya Maendele [ ... ]

Read more
Mikoa 19 imeanzisha Majukwaa ya Ushirika Mikoa 19 imeanzisha Majukwaa ya Ushirika
04 Sep 2017 05:22

Mikoa 19 imeanzisha Majukwaa ya Uhirika nchini yenye lengo la Kuwakutanisha wanaushirika na wadau wa maendeleo ya ushirika kwa madhumuni ya kushirik [ ... ]

Read more
Viongozi wa SCCULT wasimamishwaViongozi wa SCCULT wasimamishwa
24 Aug 2017 07:52

Mkutano Mkuu Maalum wa Wanachama wa SCCULT Ltd Umewasimamisha Uongozi Watendaji na Menejimenti ya SCCULT ili Kupisha Uchunguzi Utakaofanywa na Serik [ ... ]

Read more
Wajumbe wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC)Wajumbe wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC)
16 Aug 2017 11:46

Mhe. Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 7(1) cha Sheria ya Vyama vya Ushirika Na. 6 ya [ ... ]

Read more
Simiyu Inahitaji Ushirika Imara – RC MtakaSimiyu Inahitaji Ushirika Imara – RC Mtaka
07 Aug 2017 09:06

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka  amesema Mkoa wa Simiyu unahitaji ushirika imara na wa kisasa unaolenga kuwafikisha wananchi katika Uchumi wa [ ... ]

Read more
 Mfumo wa Stakabadhi Ghalani umesaidia Wanaushirika kupata bei nzuri, Tanga Mfumo wa Stakabadhi Ghalani umesaidia Wanaushirika kupata bei nzuri, Tanga
28 Jul 2017 15:05

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela amesema kuwa Mfumo wa Stakabadhi ghalani (Stakabadhi Mazao Ghalani) umewezesha Vyama vya Ushirika vya msingi  [ ... ]

Read more
Wanaushirika wakopeshana Bilioni 230, ArushaWanaushirika wakopeshana Bilioni 230, Arusha
26 Jul 2017 13:50

Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) mkoani Arusha vimewakopesha wanachama wake Shilingi billion 230  kufikia Juni, 2017, ambapo mikopo h [ ... ]

Read more
Waziri Mkuu atoa maelekezo kuimarisha Ushirika NchiniWaziri Mkuu atoa maelekezo kuimarisha Ushirika Nchini
02 Jul 2017 18:46

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ametoa maelekezo  kwa Mamlaka na Taasisi za Serikali ya kuimarisha Sekta ya Us [ ... ]

Read more
 Waziri aagiza TFC Kusimamia mipango ya maendeleo ya Vyama vya Ushirika Waziri aagiza TFC Kusimamia mipango ya maendeleo ya Vyama vya Ushirika
02 Jul 2017 17:15

Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. William Tate Ole Nasha, ameagiza Shirikisho la vyama vya Ushirika nchini (Tanzania Federation of Coopera [ ... ]

Read more
Warajis wa Ushirika watakiwa kuchapa kaziWarajis wa Ushirika watakiwa kuchapa kazi
05 Jun 2017 11:38

Naibu Waziri Wa Kilimo Mifugo na Uvuvi, Mhe. William Tate Ole Nasha amewataka Warajis Wasaidizi wa Mikoa wa Vyama Vya Ushirika nchini kufanya kazi  [ ... ]

Read more
Bodi za Uongozi wa AMCOS 190 zavunjwaBodi za Uongozi wa AMCOS 190 zavunjwa
23 May 2017 05:33

Bodi za Uongozi katika Vyama vya Ushirika vya Msingi vya Mazao (AMCOS) 190 zimevunjwa katika mikoa ya  Mtwara na Lindi kwenye Mikutano Mikuu Maalum [ ... ]

Read more
Bodi na Menejimenti ya TFC waondolewa madarakaniBodi na Menejimenti ya TFC waondolewa madarakani
18 Apr 2017 05:08

  Bodi ya Uongozi pamoja na Menejimenti ya Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania (TFC Ltd) imeondolewa madarakani na kuwajibishwa kwa mujibu wa  [ ... ]

Read more
Other News

Go to Top