Yanayojiri

Habari Zinazojiri

BODI YA CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CORECU WATAKIWA KUZINGATIA MASLAHI YA WANAUSHIRIKA

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakar Kunenge, ametoa rai kwa Bodi mpya ya  Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Pwani (CORECU - 1984 LTD) kufanya kazi kwa kusimamia misingi ya… Soma Zaidi

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, Mhe. Mariam Ditopile akizungumza wakati wa kupokea Taarifa ya Maendeleo ya Uanzishwaji wa Benki ya Ushirika Tanzania.

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YAVITAKA VYAMA VYA USHIRIKA KUWASAIDIA WANACHAMA WAO

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeviagiza Vyama vya Ushirika nchini kuwasaidia wanachama wao na sio kuwa mzigo kwa wanachama ikiwemo kukomesha… Soma Zaidi

WAZAZI  SEKONDARI NYAISHOZI WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA WATOTO WAO  

WAZAZI  SEKONDARI NYAISHOZI WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA WATOTO WAO   Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt Benson Ndiege… Soma Zaidi

MRAJIS ATOA WITO KWA AMCOS KUKATA BIMA YA MAZAO

Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege, ametoa wito kwa AMCOS zote nchini kuingia katika mpango maalum wa kukata Bima ya… Soma Zaidi

Naibu Mrajis wa Vyama vya Ushirika - Udhibiti, Collins Nyakunga, akizungumza katika kikao kazi baina ya Tume ya Maendeleo ya Ushirika na Watoa Huduma wa TEHAMA katika Vyama Ushirika wa Akiba na Mikopo.

MIFUMO YA KIDIGITALI YA VYAMA VYA USHIRIKA IUNGANISHWE NA MUVU - NAIBU MRAJIS

Watoa Huduma katika Vyama Vya Ushirika wametakiwa kuhakikisha mifumo yao inaunganishwa na Mfumo wa Kidigitali wa Usimamizi wa Vyama vya Ushirika( MUVU). Wito huo umetolewa na… Soma Zaidi