Yanayojiri

Habari Zinazojiri

BENKI YA USHIRIKA SASA IPO SOKONI - MD CBT

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Ushirika Tanzania (CBT), Godfrey Ng'urah, amesema Benki ya Ushirika ipo sokoni sasa na itakuwa Benki itakayoongoza kutoa Huduma Bora za kibenki… Soma Zaidi

TCDC YAINGIA MAKUBALIANO NA CHUO CHA MIPANGO

Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) imesaini Randama ya makubaliano (MoU) na Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Januari 27, 2025 Jijini Dodoma katika kuongeza wigo wa… Soma Zaidi

WAZIRI BASHE AHIMIZA BIMA YA MAZAO KUONGEZA TIJA KWA WAKULIMA

Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe, amesema Bima ya Mazao itasaidia Wakulima kuondokana na Vihatarishi  kabla na Baada ya kuvuna mazao ya Wakulima ili  kuzalisha kwa… Soma Zaidi

TENGENEZENI MIFUMO,TARATIBU NA KANUNI IMARA ILI KUENDELEZA VYAMA - NAIBU KATIBU MKUU KILIMO

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo anayesimamia Ushirika na Umwagiliaji, Dkt. Stephen Nindi amezitaka Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Shirikisho la Vyama vya… Soma Zaidi